Hii ni picha inayomwonyesha Rais wa zamani wa Marekani Bill Clinton wakati akiwa na umri wa miaka 19 akipeana mkono na rais wa Marekani kipindi hicho John Fitzgerald Kennedy (Marehemu) , hii ilikuwa mwaka 1963 wakati huo Rais Clinton akiwa mwanafunzi wa chuo.
No comments:
Post a Comment