Blogger Widgets

Tuesday, 23 July 2013

ANGALIA MARAIS WOTE WA KENYA WAKIWA KATIKA PICHA YA KIHISTORIA!!!PICHA ILIPIGWA PASIPO KUJUA KUA WOTE WATAKUA MARAIS


image
Hakuna yoyote aliyetarajia kushuhudia picha hii ikiwa na historia zilizofanana kwa wote waliojitokeza ndani yake .
Upande wa kushoto ni rais wa kwanza wa Kenya Mzee Jomo Kenyatta akifatiwa na mtoto wake amba,e wakati huo alikuwa mdogo sana kiumri Uhuru Muigai Kenyatta ambaye ndiye rais wa sasa wa Kenya….  aliyeinama kidogo ni Rais wa tatu wa Kenya Emilio Mwai Kibaki ambaye wakati huo alikuwa na wadhifa mkubwa kwenye serikali ya Mzee Kenyatta na hivi karibuni yeye (kibaki) ndio aliyemkabidhi Uhuru Kenyatta madaraka baada ya kuongoza kama rais wa tatu wa Kenya na aliyesimama ni Rais wa pili wa Kenya Daniel Toroitich Arap Moi .
Marais Wote hawa ndani ya picha moja, haijawahi kutokea,

No comments:

- See more at: http://www.helperblogger.com/2012/06/jquery-facebook-like-box-popup-with.html#sthash.AGJhd6Gy.dpuf