Blogger Widgets

Sunday, 28 July 2013

RICK ROSS AMEZUNGUMZIA SUALA LA DJ KHALED KUTAKA KUMUOA NICK MINAJ...!! SOMA HAPA

Kufuatia kitendo cha DJ Khaleed kutangaza hisia zake kwa mwanadada Nicki Minaj pamoja na kumtumia maombi kumuoa kwa njia ya TV, Tukio ambalo limetokea kuwa gumzo kila kona, Rapa Rick Ross amemua katika mstari wa mbele kabisa kutoka orodha ya watu maarufu kutoa maoni yake juu ya tukio hili zima. 
Ross katika interview ambayo amefanya hivi karibuni amesema kuwa, Kwa jinsi alivyoona tukio, Tofauti na wengi... yeye anaona kuwa Dj Khaleed yupo serious na hatanii na hii ni kutokana na gharama za pete ambayo Dj huyu ameinunua na kuionyesha kwa watu pia katika ujumbe wake kwa Nicki.

Gharama ya pete hii unakadiriwa kuwa dola laki tano ambayo inazidi shilingi milioni 800 za kitanzania.

Hii ndiyo quote ya maneno aliyosema Rick Ross;
"I see that it's not planned, but I'm reading the small description underneath and it says he has a ring from Rafaello & Co, if I'm reading that correctly, that's valued at about a half a million dollars. If you spend a half a million dollars, you're dead a** serious. ... That's been my brother. I know he's been infatuated with Nicki. I guess we all just gotta sit back and wait

No comments:

- See more at: http://www.helperblogger.com/2012/06/jquery-facebook-like-box-popup-with.html#sthash.AGJhd6Gy.dpuf