Siku mbili baada ya kuingia rasmi duniani kitukuu wa malkia Elizabeth ambaye ni mtoto mchanga wa Prince William na Mkewe Kate Middleton amepewa jina rasmi la George Alexander Louis na kukutanishwa na bibi yake kwa mara ya kwanza.
Pamoja na kukutana na bibi yake, hii leo George Alexander Louis alipelekwa kijijini kwa wazazi wa mama yake Kate Middleton kama ilivyo kwenye utamaduni wa watu wa Uingereza.
No comments:
Post a Comment