Blogger Widgets

Tuesday, 16 July 2013

EDISON CAVANI AZITOSA MAN CITY NA CHELSEA NA KUJIUNGA PSG

Cavani ametua rasmi jijini Paris Ufaransa tayari kufanyiwa vipimo vya afya baada ya Napoli kukubali ofa £55million kutoka kwa PSG. Endapo mchezaji huyo atafaulu vipimo basi atajiunga na PSG rasmi mapem kesho.

No comments:

- See more at: http://www.helperblogger.com/2012/06/jquery-facebook-like-box-popup-with.html#sthash.AGJhd6Gy.dpuf