Blogger Widgets

Thursday, 1 August 2013

HUU MZIKI SASA::: HATIMAYE MKURUGENZI WA MTANASHATI ''OSTAZ JUMA NA MUSOMA'' AAMUA KUIMBA ILI KUMKATA NGEBE MR. BLUE?......!!!!

 
Ostaz Juma  
Manager wa Kampuni na label ya Mtanashati Entertainment inayosimamia Wasanii kama vile Dogo Janja, PNC, Happy Balice na wengineo, Maarufu kama Ostaadhi Juma Namusoma ameamua kufunguka live kuwa Sababu ya yeye kuingia kwenye
Muziki kwa upande wa Kuchana na kuachia ngoma yake aliyofanya na Young Killer haikuwa na maana ya kutaka tu kuonyesha kuwa anaweza pia upande wa pili bali pia nikumkata Ngebe Msanii wa Bongo Fleva Mr. Blue ambaye anadai kuwa alimdiss kwenye kipindi cha Mkasi wakati akihojiwa na Salama Jabir.

Ostaadhi Juma amefunguka hayo wakati akipiga short Interview kwa njia ya simu na Mtangazaji wa Mambo Jambo Radio Arusha DJ Haazu ndani ya Kipindi cha Mtaa wa Pili Round II ambapo

bila kuficha Jamaa alifunguka maneno hayo ambapo anasema baada ya Mr. Blue kumdiss kwenye kipindi cha Mkasi kuwa haujui Muziki yeye hakujibu chochote.
Mr. Blue alimdiss jamaa huyo pale alipoulizwa na Salama Jabir kuwa angependa apate Manager wa aina gani ambapo Mr. Alimjibu Salama kuwa anataka Manager anayejua mziki na sio vimanager kama Ostaadhi sijui Juma....jamaa yeye alikaa kimya na kwa sasa Kaamua kufunguka

No comments:

- See more at: http://www.helperblogger.com/2012/06/jquery-facebook-like-box-popup-with.html#sthash.AGJhd6Gy.dpuf