Blogger Widgets

Thursday, 1 August 2013

HII NI HATARIIII!!BARAFU YA MLIMA KILIMANJARO INAELEKEA KUISHA YOTE

 Taswira ya Mlima Kilimanjaro inavyoonekana kwa sasa baada ya kuyeyuka Barafu yote, ikiwa imebakia sehemu kidogo tu juu ya Kilele cha Mlima huo, ni kutokana na Mabadiliko ya Tabianchi na uhalibifu wa Mazingira uliokithiri.
 Taswira ya mlima huo na Kilele cha Mlima Kibo
Mlima Kilimanjaro , kama unavyoonekana ukiwa hauna Barafu huku iliyobaki ikielekea kumalizika kwa kuyeyuka.

No comments:

- See more at: http://www.helperblogger.com/2012/06/jquery-facebook-like-box-popup-with.html#sthash.AGJhd6Gy.dpuf