
Xavi akiwa na mkewe Nuria Cunillera
Hatimaye kiungo wa Klabu ya Barcelona ya Hispania Xavi Hernandez ameamua
![]() |
kuachana na ukapera kwa kumuoa mchumba wake wa muda mrefu Nuria Cunillera,
|
![]() | |
ndoa iliyofungwa siku ya jumamosi usiku huku ikihudhuriwa na wachezaji wenzake akiwemo gwiji Lionel Messi.
Shuhudia jinsi mambo yalivyokuwa katika picha |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |
![]() |




No comments:
Post a Comment