
Taarifa za kuaminika zilizotolewa na FC Barcelona ni kwamba mshambuliaji huyo ameuzwa kwenda Atletico kwa ada ya uhamisho wa 5.1million euros. Pia inaaminika kwamba vilabu mahasimu wa London Arsenal na Tottenham Hotspur vilikuwa vikimhitaji mshambuliaji huyo lakini Villa amechagua kujiunga klabu hyio inayoshiriki kwenye ligi kuu ya Spain.
Arsenal walijaribu kumsajili mchezaji huyo miezi sita lakini ikashindikana.
No comments:
Post a Comment