
Gago tayari alishacheza kwa miezi Boca akitokea Valencia lakini Boca waliamua kumrudisha moja kwa moja kiungo huyo ambaye alianza kucheza soka la ushindani mnamo mwaka 2004 akiwa na klabu hiyo.
Gago alijiunga na Real Madrid mnamo mwaka
2007 na kusiadia klabu hiyo kushinda ubingwa wa La Liga mara mbili
kabla ya kuhamia Valencia msimu uliopita akitokea AS Roma alipopelekwa kwa mkopo na Madrid baada ya kukosa nafasi katika kikosi cha kwanza.
No comments:
Post a Comment