Blogger Widgets

Sunday, 4 August 2013

DENZEL WASHINGTON AGOMA KUCHEZA FAST & FURIOUS 7.


Baada ya Fast & Furious 6 kumalizika vizuri, fast & furious 7 imeanza kupata majanga baada ya muigiza bora Denzel Wanshington kukataa kushiriki kwenye movie hiyo.
Sababu kubwa iliypelekea Denzel Wanshington kukataa kucheza fast & furious 7 ni kwamba hajaridhika na part yake ambayo anatakiwa kucheza kwenye movie hiyo.
Denzel Wanshington amepewa kipengele kidogo sana kwenye movie ya fast & furious 7 na hakupendezwa na udogo wa kipengele hicho na kupelekea star huyo kugoma kuwa character kwenye fast & furious 7

No comments:

- See more at: http://www.helperblogger.com/2012/06/jquery-facebook-like-box-popup-with.html#sthash.AGJhd6Gy.dpuf