Blogger Widgets

Thursday, 27 June 2013

how to flash vodafone modems

Oii niaje..Ok sasa ntaelezea jinsi ya kuziflash hzi modem za vodafone....

- K3565-Z
- K3570-Z
- K3571-Z (hizi ndo wanauza voda sasa)

Yangu nimeshaiflash so nitaiflash tena.. BUT ni kwamba sitaonyesha details zote toka mwanzo.. coz izo modem zinakuja na software yakeya voda...

Ok zifuatazo ni link za download tools utakazo tumia.. DC unlocker, Vodafone Image niliotegeneza.
- First download iyo vodafone dashboarb image form her:
- http://www.filesonic.com/file/oQXlpa5
tumia premium account kuidownload hiyo file:
username: Fileuser1
pass: micuenta

Then sasa ukishaidownload hiyo image nenda hapa na udownload DC UNLOCKER:

http://www.dc-unlocker.com/uploud/uploud/uploads/dc-unlocker_client-1.00.0764.exe

Ok ukishaidownload install it...

Sasa ni kwamba lazima uwe connected na net ili uweze kuflash your modem yani kama unasimu
then itakuwa bomba sana coz simu utaunga net then sasa ndo utaiflash iyo modem kama una modem nyingine ziconnect zote mbili.. moja iconnect na net iyo sasa ambayo unataka kuflash isiwe inarun any application...

OK mimi ntatumia cmu yangu kuunga na net.. ok if tayari ushakamilisha izo task zote apo juu na ushaconnect na internet sasa fuata haya maelekezo...na ya picha also(nimeziupload tiny pic so open the links to see the image)

Open DC-Unlocker and then Select ZTE modems and click search button:

- http://i42.tinypic.com/6rsqab.jpg

Then sasa click iyo tab ya Server and weka:
- username: free
- pass: voice

Then click check login:
- http://i43.tinypic.com/wb7311.jpg
- http://i41.tinypic.com/kw803.jpg

Click iyo tab ya FLASH.. alafu click write dashboard:
- http://i40.tinypic.com/4ev11.jpg

Locate ilo image ilio download from apo juu Vodafone.iso then click open:
- http://i44.tinypic.com/rc67lu.jpg

Itaanza kuflash wait mpaka imalize its not more than 5 minutes:

- http://i39.tinypic.com/2mqlyd3.jpg

Apo ikitokea hivi imemaliza:
- http://i43.tinypic.com/16k6jdg.jpg

Close dc-unlocker chomoa modem then sas nenda alafu UNISTALL iyo software ilikuja nayo kwenye
computer yako VODAFONE MOBILE CONNECT.. ikimaliza ku unistall kabisa then chomeka modem yako na install iyo software itakayojipromp then itaainstall hii dasboard tulio iweka...

NA HII NDO DASHBOARD MPYA AMBAYO HAIBAGUI LINE YOYOTE:
- http://i43.tinypic.com/dxife0.jpg

UR DONE NOW U CAN USE ANY LINE AMBAYO INA SUPPORT GSM.

Thanks
J. msangi

No comments:

- See more at: http://www.helperblogger.com/2012/06/jquery-facebook-like-box-popup-with.html#sthash.AGJhd6Gy.dpuf