
kwa mara nyingine tena Manchester United imeandikisha matokeo mabaya kwa kutoka sare nyumbani.
Goli lililofngwa na nahodha Adam Lallana dakika
moja kabla ya mechi kumalizika,limeiwezesha Southampton kuondoka na
alama 1 kwenye uwanja wa Old Trafford.Manchester United imepata goli la kuongoza katika dakika ya 25 ya mchezo.
Matokeo hayo ya goli 1-1 ni ya kuvunja moyo kwa mashabiki wa Manchester United ambayo imekwisha funga mechi 2 tu miongoni mwa mechi 7 na sasa iko nyuma ya viongozi wa ligi Arsenal kwa alama 8.
Katika matokeo mengine ya mechi zilizochezwa,Chelsea waliinyuka Cardiff magoli 4-1;Everton ikailaza Hull 2-1;Swansea iliichapa Sunderland 4-0 Stoke wakatoka sare bila kufungana na West Brom.
| FT | Newcastle United | 2 - 2 | Liverpool |
| FT | Arsenal | 4 - 1 | Norwich City |
| FT | Chelsea | 4 - 1 | Cardiff City |
| FT | Everton | 2 - 1 | Hull City |
| FT | Manchester United | 1 - 1 | Southampton |
| FT | Stoke City | 0 - 0 | West Bromwich Albion |
| FT | Swansea City | 4 - 0 | Sunderland |
| FT | West Ham United | 1 - 3 | Manchester City |
No comments:
Post a Comment