
Beki wa kimataifa wa Uganda, Joseph
Owino (katikati) akikabidhiwa jezi ya Simba SC leo baada ya kusaini
Mkataba wa miaka miwili kuichezea klabu hiyo. Anayemkabidhi jezi kushoto
ni Kaimu Makamu Mwenyekiti wa Simba, Joseph Itang'are 'Kinesi' na kulia
ni Mjumbe wa Kamati ya Utendaji, Said Pamba.
![]() |
| Dole gumba; Owino akitia dole gumba kwenye fomu za usajili baada ya kusaini |

No comments:
Post a Comment